Waziri Dkt.Nchemba amuaga Balozi wa Marekani anayemaliza muda wake nchini


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Kulia), akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe. Michael Battle, baada ya kikao chao jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine, Dkt. Nchemba alimshukuru kwa ushirikiano mzuri katika kipindi chote cha uongozi wake kwa kufanya kazi kwa karibu na Serikali kupitia miradi ya maendeleo na kumuomba aendelee kuwa balozi mzuri wa Tanzania hata baada ya hutimisha utumishi wake nchini.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Kulia), akimkabidhi zawadi ya baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya hapa nchini, Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe. Michael Battle, ambapo pamoja na mambo mengine, Dkt. Nchemba alimshukuru kwa ushirikiano mzuri katika kipindi chote cha uongozi wake kwa kufanya kazi kwa karibu na Serikali kupitia miradi ya maendeleo na kumuomba aendelee kuwa balozi mzuri wa Tanzania hata baada ya hutimisha utumishi wake nchini.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news