Waziri Mkuu afungua Shule ya Sekondari Makoba Kaskazini Unguja

ZANZIBAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 6, 2025 amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Ujenzi wa Shule hiyo ambao umefikia asilimia 100 umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 6.1 ambazo zimetolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inayoongozwa na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news