WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA TUME YA RAIS YA MAREKEBISHO YA KODI

DODOMA-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 20, 2025 amekutana na wajumbe wa Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Wajumbe hao waliongozwa na mwenyekiti wa tume hiyo Balozi Ombeni Sefue.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news