Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Kavuu, Geofrey Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 6, 2025. Kulia ni mke wa Naibu Waziri, huyo, Shrifa Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Kavuu, Geofrey Pinda ambaye amelazwa kwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 6, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).