Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dkt.Samia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu kilimo

KAMPALA-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2025 ameshiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika ambapo alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Speke Resort, Munyonyo, Kampala Uganda.
Awali Mheshimiwa Majaliwa alishuhudia Tamasha la Kahawa Afrika (Africa Coffee Festival) lililolenga kuhamasisha uongezaji thamani katika mazao yanayolimwa Afrika likiwemo zao la kahawa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news