Waziri Mkuu aongoza wana Ruangwa kufuatilia hotuba ya Rais Dkt.Samia
LINDI-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tarehe 31 Desemba,2024 ameongoza Wana-Ruangwa kufuatilia hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipozungumza na Taifa kutoa salamu za Mwaka mpya 2025.