Waziri Mkuu kuzindua Mradi wa SOFF

DODOMA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 21, 2025 atazindua Mradi wa (SOFF) unaofadhiliwa na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO).
Mradi huo unatarajiwa kuwezesha Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini kununua vifaa vipya na vya kisasa vitakavyoongeza ufanisi katika Utabiri wa Hali ya Hewa.
Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa hoteli ya Midland Inn View Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news