Uzinduzi wa Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF Tanzania unatarajiwa kuzinduliwa rasmi na Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 21 Januari 2025.
Tags
Habari
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Ofisi ya Waziri Mkuu
Tanzania Meteorological Agency (TMA)