Askari wawili wa JWTZ wauawa, wanne wajeruhiwa katika mapigano DRC

DODOMA-Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limethibitisha kuwapoteza askari wake wawili na wengine wanne kujeruhiwa kufuatia mashambulizi ya mfululizo katika maeneo ya SAKE na GOMA yaliyofanywa na Waasi wa M23 January 24 na 28, 2025.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano JWTZ, Kanali Gaudentius Ilonda amesema, majeruhi kwa sasa wanaendelea kupatiwa matibabu mjini Goma.

Pia,taratibu za kuisafirisha milli ya marehemu pamoja na majeruhi waliotokana na mapigano hayo zinaendelea kupitia Sekretarieti ya SADC.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news