TANGA-Malalamiko ya Wanabumbuli kuhusu mbunge wao January Makamba yamechukua sura mpya baada ya wananchi hao kuanza kubandika vipeperushi vyenye picha ya Mbunge huyo vikieleza kuhusu kuchoshwa na utendaji kazi wake.
Vipeperushi hivyo yimeandikwa maandishi yaliyosomeka "Bumbuli tunasema hapana, miaka 15 imekutosha pumzika".
Ujumbe huu ni ishara ya kuchoshwa kwa wananchi na utendaji usiokidhi matarajio yao kwenye utatuzi wa kero zinazowakabili.
Tags
Habari