Chuo Kikuu Mzumbe chakabidhi vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni kwa taasisi zisizo za kiserikali za LEVO na Morogoro Paralegal Centre


Mgeni rasmi wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni ambaye pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha akikabidhi vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni kwa taasisi isiyo ya kiserikali ya LEVO (legal vision organisation).
Mgeni rasmi wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni ambaye pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha akikabidhi vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni kwa taasisi isiyo ya kiserikali ya Morogoro Paralegal Centre.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya lushoto baada ya kuwasili wilayani hapo kwa ajili ya hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni kwa Taasisi zisizo za kiserikali (LEVO na Morogoro Paralegal Centre).
Mgeni rasmi wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni ambaye pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha akifungua rasmi hafla hiyo na kushukuru jitihada zote zilizofanyika kufanikisha makabidhiano ya vifaa.
Mgeni rasmi wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni ambaye pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William mwegoha (kulia) akikabidhiwa zawadi na waratibu wa taasisi isiyo ya kiserikali ya LEVO (legal vision organisation).
Mratibu wa Mradi wa kuimarisha huduma za utoaji wa msaada wa kisheria kwa maudhui mafupi - VLIROUS Bw. Edger Rutatola akielezea kuhusu lengo la hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni kwa taasisi ziziso za kiserikali (LEVO na Morogoro Paralegal Centre) na namna vifaa hivyo vitasaidia kuimarisha shughuli mbalimbali katika taasisi hizo.
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni kwa taasisi zisizo za kiserikali (LEVO na Morogoro Paralegal Centre).
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni kwa taasisi zisizo za kiserikali (LEVO na Morogoro Paralegal Centre).
Mgeni rasmi wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya kutengeneza maudhui mtandaoni ambaye pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla hiyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news