Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 19,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2552.47 na kuuzwa kwa shilingi 2578 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8274.89 na kuuzwa kwa shilingi 8341.42.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 19, 2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3213.31 na kuuzwa kwa shilingi 3245.70 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.79 na kuuzwa kwa shilingi 1.84.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.66 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1796.38 na kuuzwa kwa shilingi 1813.96 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2830.42 na kuuzwa kwa shilingi 2857.46.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 19th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED694.9671701.8213698.394219-Feb-25
2ATS163.7924165.2437164.51819-Feb-25
3AUD1618.77981635.7411627.260419-Feb-25
4BEF55.871256.365756.118519-Feb-25
5BIF0.86470.85930.86219-Feb-25
6BWP183.523187.4206185.471819-Feb-25
7CAD1796.37921813.961805.169619-Feb-25
8CHF2830.42282857.45952843.941219-Feb-25
9CNY350.6436354.0577352.350619-Feb-25
10CUC106.3531107.4167106.884919-Feb-25
11DEM1022.74921162.57051092.659819-Feb-25
12DKK357.6097361.1707359.390219-Feb-25
13DZD18.990519.101719.046119-Feb-25
14ESP13.54613.665513.605819-Feb-25
15EUR2667.08142694.012680.545719-Feb-25
16FIM379.0655382.4245380.74519-Feb-25
17FRF343.5965346.6358345.116219-Feb-25
18GBP3213.31113245.7023229.506519-Feb-25
19HKD328.2504331.5287329.889519-Feb-25
20INR29.361729.636629.499219-Feb-25
21IQD1.94991.96641.958219-Feb-25
22IRR0.06080.06140.061119-Feb-25
23ITL1.1641.17431.169219-Feb-25
24JPY16.823616.990716.907119-Feb-25
25KES19.786619.907319.84719-Feb-25
26KRW1.76961.78631.777919-Feb-25
27KWD8274.89878341.42248308.160519-Feb-25
28MWK1.36761.47231.4219-Feb-25
29MYR574.4936579.5863577.0419-Feb-25
30MZM39.622439.956639.789519-Feb-25
31NAD138.4378139.8002139.11919-Feb-25
32NGN1.70171.70731.704519-Feb-25
33NLG1022.74921031.81911027.284219-Feb-25
34NOK228.7226230.9436229.833119-Feb-25
35NZD1453.12421468.94441461.034319-Feb-25
36PKR8.68039.22698.953619-Feb-25
37QAR700.3636707.1732703.768419-Feb-25
38RWF1.79251.83621.814319-Feb-25
39SAR680.6056687.375683.990319-Feb-25
40SDR3344.88963378.33853361.614119-Feb-25
41SEK238.0241240.2095239.116819-Feb-25
42SGD1900.15281918.44021909.296519-Feb-25
43TRY70.369271.065970.717619-Feb-25
44UGX0.66590.69860.682319-Feb-25
45USD2552.475225782565.237619-Feb-25
46GOLD7437593.81197513258.757475426.280919-Feb-25
47ZAR138.4559139.801139.128419-Feb-25
48ZMK88.42591.907390.166219-Feb-25
49ZWD0.47760.48730.482519-Feb-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news