Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 6,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3167.08 na kuuzwa kwa shilingi 3200.54 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.79 na kuuzwa kwa shilingi 1.85.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 6, 2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.66 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.85.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1770.48 na kuuzwa kwa shilingi 1788.06 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2803.03 na kuuzwa kwa shilingi 2829.18.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2530.02 na kuuzwa kwa shilingi 2555.32 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8200.50 na kuuzwa kwa shilingi 8279.83.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 6th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED688.8719695.6659692.268906-Feb-25
2ATS162.3514163.79163.070706-Feb-25
3AUD1587.84041604.7411596.290706-Feb-25
4BEF55.379755.869955.624806-Feb-25
5BIF0.85780.85180.854806-Feb-25
6CAD1770.48271788.06241779.272606-Feb-25
7CHF2803.03552829.18512816.110306-Feb-25
8CNY347.8121351.1985349.505306-Feb-25
9DEM1013.75161152.34271083.047206-Feb-25
10DKK353.049356.48354.764506-Feb-25
11ESP13.426813.545313.486106-Feb-25
12EUR2632.99162659.83262646.412106-Feb-25
13FIM375.7306379.0601377.395406-Feb-25
14FRF340.5737343.5863342.0806-Feb-25
15GBP3167.07883200.53833183.808506-Feb-25
16HKD324.8905328.1352326.512806-Feb-25
17INR28.963529.234729.099106-Feb-25
18ITL1.15381.1641.158906-Feb-25
19JPY16.533916.698216.61606-Feb-25
20KES19.612619.747419.6806-Feb-25
21KRW1.74811.7651.756506-Feb-25
22KWD8200.5058279.82638240.165706-Feb-25
23MWK1.35561.45931.407506-Feb-25
24MYR572.4027577.4734574.938106-Feb-25
25MZM39.273839.605139.439506-Feb-25
26NLG1013.75161022.74161018.246606-Feb-25
27NOK225.9551227.8159226.885506-Feb-25
28NZD1436.79821452.18841444.493306-Feb-25
29PKR8.62719.15568.891406-Feb-25
30RWF1.79971.85411.826906-Feb-25
31SAR674.564681.2733677.918706-Feb-25
32SDR3292.82093325.74913309.28506-Feb-25
33SEK232.1183234.1409233.129606-Feb-25
34SGD1875.21892.82961884.014806-Feb-25
35UGX0.66090.69340.677206-Feb-25
36USD2530.01982555.322542.669906-Feb-25
37GOLD7232542.3087308470.7327270506.5206-Feb-25
38ZAR136.0452137.3673136.706306-Feb-25
39ZMW87.647191.098889.372906-Feb-25
40ZWD0.47340.4830.478206-Feb-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news