FIFA yasimamisha uanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (FECAFOOT)
SHIRIKISHO la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeisimamisha uanachama Shirikisho la Mpira wa Miguu la Jamhuri ya Congo (FECAFOOT) mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo.