DAR-Tukiwaambia Maria Sarungi ni muongo muelewe. Tukiwaambia Maria Sarungi anaendeshwa na chuki binafsi dhidi ya Rais mtuamini.
Kazoea kutunga uongo na kutag mashirika bila kujibiwa. Leo Gates Foundation imemjibu kiupole lakini kwa sauti kubwa sana.
Gates Foundation imetuma na link ya press release inayo tangaza sio tu ushindi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye tuzo ya Goal Keepers Award bali na sababu za kupewa tuzo hizo.
Ni wakati sasa mumpuuzie Maria Sarungi, bigwa wa uongo na chuki.
Tags
Habari