SINGIDA-Picha mbalimbali mapokezi ya Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu nyumbani kwao Ikungi, Singida.
Makundi mbalimbali ya wanachadema walisafiri kumsindikiza Lissu nyumbani leo kutoka Dodoma, Morogoro, Mwanza, Mara na Mbeya. TAZAMA VIDEO CHINI
Tags
Habari