Kamati ya Ukaguzi ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali yashiriki mafunzo

DODOMA-Kamati ya Ukaguzi ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeshiriki katika Mafunzo maalumu yanayohusiana na masuala mbalimbali ya Ukaguzi, yanayoendeshwa na wakufunzi kutoka Wizara ya Fedha, Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.
Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili (2) kuanzia tarehe 20 hadi 21 Februari, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ulioko Mtumba, Jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news