🔴LIVE:Rais Dkt.Samia mgeni rasmi kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini 2025
Leo Februari 3,2025 ni kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria ambayo yanafanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.