MAAFISA 26 WA KAMPUNI YA UPATU MTANDAONI YA LBL WAKAMATWA
DAR-Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam,SACP Faustine Mafwele amethibitisha katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kuhusu kukamatwa kwa Maafisa 26 wa Kampuni ya Upatu ya Mtandaoni ya Leo Beneath London (LBL);