Magazeti leo Februari 10,2025
















Je, ni sawa kumpa fedha mtu usiyemjua?

HABARI zenu?, jamani naomba kuuliza kwani ni vibaya kumsaidia mtu fedha usiyemjua?, na kama kuna madhara naomba kujua ni yapi maana nimekumbana na jambo ambalo limeniacha njia panda!.

Kuna siku nimeshuka stendi nikakutana na mkaka hivi, sio kwamba mchafu wala haonekani kama ombaomba yupo kawaida tu na alikuwa kashikilia simu mbili mkononi mwake, moja smart phone na nyingine ya kawaida.

Akanifuata wakati natembea akaniomba nauli akidai kwamba ametoka huko Bunju kaja Mbagala kuonana na mtu baada ya kufika huyo mtu akawa hapatikani kwenye simu, hivyo ananiomba nimsaidie nauli ya daladala arudi kwao.

Mimi nikampa, sasa nimerudi nyumbani nikawa namwambia rafiki yang akasema sio vizuri kuwapa watu fedha usiowajua. Eti anaweza kuwa katumwa au mambo ya kishirikina na chuma ulete.

Akaniambia alishawahi kumpa mama mmoja fedha kwa mtindo huo, tangu hapo akawa anapoteza tu fedha hata akipokea mshahara unakuwa wa kutatua matatizo tu na sio kufanya maendeleo.

Alisema suala hilo lilimtesa sana kwa miaka zaidi ya miwili huku mara kadhaa akirudi katika lile eneo ambalo alikutana na yule mama ili kujua tatizo ni nini lakini hakuwahi kumuona kabisa.

Kusema kweli aliniogopesha sana. Anasema pona yake ilikuja baada ya kwenda kwa Kiwanga Doctors huko Migori, Kenya na kufanyiwa dawa na matambiko ya kurudisha nyota yake ndipo mambo yakakaa sawa.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com au tuma email kiwangadoctors@gmail.com.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news