DAKTARI Bingwa wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu kutoka Chama cha Wataalmu wa Kifafa Tanzania, Dkt. Patience Njenje amesema imani za kishirikina zimekuwa zikigharimu maisha ya wagonjwa wa kifafa kwa kukabiliwa na unyanyapaa ambapo asilimia 50 ya jamii inaamini kuwa kifafa kinaambukiza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam ikiwa ni wiki ya maadhimisho ya kifafa Februari 3 hadi 9 na kuelekea siku ya kifafa Duniani Februari 10 dk Njenje amebainisha kuwa utafiti pia umeonesha kuna takribani watu milioni moja wanaoishi na kifafa nchini.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo