DODOMA-Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo kuhakikisha kuhakikisha Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Uendelezaji wa Makao Makuu Dodoma unawasilishwa bungeni kabla ya kuvunjwa kwa Bunge la 12, mwaka huu.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo Jijini Dodoma katika hafla ya utiaji wa saini Mkataba wa ujenzi wa Soko kuu la Majengo na ujenzi wa kituo cha daladala eneo la Mshikamano, Kizota na Nzuguni.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo