Majaliwa mgeni rasmi Mkutano Mkuu Jimbo la Itilima
SIMIYU-Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Ndugu Kassim Majaliwa leo Februari 15, 2025 ni mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu Maalum Chama cha Mapinduzi Jimbo la Itilima mkoani Simiyu.