Mikopo ya asilimia 10 Busokelo yawaneemesha wananchi wengi

MBEYA-Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo imefanikiwa kutoa Mikopo ya Asilimia 10 kama takwa la kisheria na maelekezo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.
Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt.Mwinyi Omary Mwinyi amesema jumla ya Kiasi cha Shilingi Milioni 177 zimetolewa kwa vikundi hivyo tarehe 06/02/2025 ikiwa ni awamu ya kwanza ya kutoa mikopo.
Aidha,Dkt. Mwinyi ameeleza kuwa awamu ya pili imeanza kwa usaili wa vikundi mbalimbali kuanzia tarehe 02-30/02/2025 ambapo jumla ya shilingi milioni 500 zinatarajiwa kutolewa kwa vikundi vitakavyopitishwa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news