Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Februari 24,2025
DAR-Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) inaendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ikiwa na alama 55 baada ya mechi 21 huku Simba SC ikishika nafasi ya pili kwa alama 50 baada ya mechi 20.