HomeHabari Muonekano wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Dodoma Muonekano wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Dodoma ambao Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo itasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja huo kesho tarehe 13 Februari 2025 saa 3:00 Asubuhi Eneo la Viwanja Changamani vilivyopo Nzuguni Dodoma. Tags Habari Michezo Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter