Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Wiliam Lukuvi (kulia), Waziri wa Fedha , Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) Waziri wa Nchi , Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (kushoto), Bungeni Jijini Dodoma wakati wa kikao cha sita cha Mkutano wa kumi na nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tarehe 4 Februari,2025.