Ni Simba SC dhidi ya Namungo FC

LINDI- Kikosi cha Simba SC kimewasili salama Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa Majaliwa leo Jumatano saa 12:30 jioni.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news