Rais Dkt.Mwinyi amteua Mwita Mgeni Mwita kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Takwimu Zanzibar
ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua ndugu Mwita Mgeni Mwita kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Takwimu Zanzibar.