Rais Dkt.Mwinyi amteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna Mkuu wa ZRA
ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Februari 8,2025 amemteua ndugu Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA).