HomeDkt.Hussein Ali Mwinyi Rais Dkt.Mwinyi aongoza kikao cha Tume ya Mipango ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Februari 7,2025 ameongoza kikao cha Tume ya Mipango Ikulu, Zanzibar.Rais Dkt. Mwinyi ni Mwenyekiti wa Tume ya Mipango Zanzibar. Tags Dkt.Hussein Ali Mwinyi Habari Zanzibar News Facebook Twitter