ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Februari 10,2025 ameteua wenyeviti wa bodi mbalimbali.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar,Mhandisi Zena Ahmed Said. Uteuzi huo unaoanza leo ni kama ifuatavyo;![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8BDbURwxJr7_f4P59f9KgBgY6gBF4eglbg4AwG_va3-9C6WwHgKAKUIdBHWxHvJZHPLau08u17_BQYBI8TTIlPJLwk5ac9OTTZ3N_bTevxJs_UNjD_IFQUa6mncGCS_5BRg-11LgKEOke4pIyZP9vaPmy2C-nWWipgJDOR8ZNboAZri9rSechz3rtBIxI/s16000/1001184125.jpg)