Serikali imedhamiria kwa dhati kuimarisha Sekta ya Afya nchini-Rais Dkt.Samia
Wananchi wa Mkata wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkata, katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.