Chuo cha Furahika ni chuo kinachotoa elimu bila malipo katika kuunga mkono juhudi za Rais wa awamuya Sita, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kutoa mafunzo bila malipo kupitia kozi mbalimbali kama:-Computer and ICT, Hotel management,Secretarial course, Tailoring, make up, Air ticketing and Airhostess, Tourism, electricity n.k. Mkuu wa chuo cha Furahika anapenda kuwatangazia watanzania nafasiza kazi mbalimbali. Nafasi hizo ni kama ifuatavyo;