Tuwasaidie maimamu na walimu wa Madrasa-Rais Dkt.Mwinyi

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza waumini wa Dini ya Kiislamu kuwa tayari kuwasaidia Maimamu na Walimu wa Madrasa kwa hali na mali ili wawe na hali bora za kimaisha na kuendelea kufundisha Elimu ya Dini kwa ufanisi.
Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo leo alipoufungua Msikiti wa Almaghafira uliopo Nungwi Kidimni, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu amewahimiza kuutumia Msikiti huo kwa kusali kwa bidii pamoja na kuandaa utaratibu mzuri wa kuutunza ili ubaki kuwa na mazingira mazuri wakati wote.

Msikiti wa Almaghafira uliojengwa kwa nguvu za waumini na wahisani mbalimbali.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news