Waheshimiwa Majaji katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2025
Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja wa Mahakama Kuu wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma tarehe 03 Februari, 2025.