Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa lengo la kutoa mwelekeo wa Ofisi hiyo kwenye kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa lengo la kutoa mwelekeo wa Ofisi hiyo kwenye kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa lengo la kutoa mwelekeo wa Ofisi hiyo kwenye kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akitoa neno la shukrani baada ya kumalizika kwa kikao cha watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Camilius Ruhinda akitoa maelezo kuhusu namna Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri unavyofanya kazi kwa watumishi wa Ofisi hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa TUGHE tawi la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mtani Songorwa akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa Ofisi hiyo wakati wa kikao cha watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, ndugu Yasin Kamanyile akiwasilisha mada namna Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unavyofanya kazi kwa watumishi wa Ofisi hiyo Jijini Dar es Salaam.
Katibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Renalda Kabewa akitoa maoni kuhusu Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri unavyofanya kazi wakati wa kikao cha watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao chake na watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao chake na watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao chake na watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao chake na watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi yake baada ya kikao chake na watumishi hao Jijini Dar es Salaam.

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi yake baada ya kikao chake na watumishi hao Jijini Dar es Salaam.Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi yake baada ya kikao chake na watumishi hao Jijini Dar es Salaam.