Wananchi katika Kliniki ya Sheria mkoani Mwanza

MWANZA-Wananchi wa mkoa wa Mwanza wameendelea kujitokeza na kupata huduma kwenye Kliniki ya Sheria inayofanyika kwa ushirikiano wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kamati ya Ushauri wa Kisheria ya mkoa wa Mwanza.
Kliniki hiyo imeanza tarehe 17 na inaendelea hadi tarehe 23 Februari, 2025 katika Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news