Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (kulia) akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari (kushoto) wakati wa Mkutano wa kumi na nane, kikao cha tisa cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini, Dodoma leo tarehe 07 Februari, 2025.