Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dkt.Samia kwenye Maombi Maalum ya Kuliombea Taifa
DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 28, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maombi maalum ya kuliombea Taifa yaliyondaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa, kwenye Viwanja wa Leaders, jijini Dar es Salaam.