NAITWA Shamira kutoka Mwanza, kuna siku nilienda kwa mume wangu anapofanyia kazi, maana tunaishi mikoa tofauti, sasa nilipokuwa kwenye gari kuna kaka mmoja alikua amekaa siti ya pembeni, akaniuliza dada una salio kwenye simu yako?.
Nikasema ndio,sababu tulikua tumeshatoka mjini akaniomba simu akaongea na baada ya dakika kadhaa kanirudishia.
Sasa tukafika ila mimi nilitakiwa kupanda bodaboda, hadi nilipo kuwa naenda kwa bodaboda ni Sh5,000.
