NAITWA Aisha kutoka Tanga, baada ya kuachana na mwanaume niliyezaa naye, alikuwa ananiambia kwamba kama anataka amhudumie mtoto basi ni lazima kulala naye.

Kweli alikuwa analipa kodi, anatoa kila kitu na alikuwa hataki nifanye kazi, alikuwa anakuja kwangu anavyojisikia, hakutaka niwe na wanaume wengine na hata akisikia kuwa kuna mtu ananifuatilia atamtafuta huyo mtu na kumuambia aachane na mke wake.
Wakati huo yeye ana mke wake,tena ndoa ya kanisani angalau ingekuwa ya kiislamu ungesema unaweza hata kumloga akuoe mke wa pili,lakini hakuna kitu kama hicho.
Anakuja anavyojisikia na ukibeba mimba atakulazimisha mpaka utoe kama ukijifanya ...SOMA ZAIDI HAPA