Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) ina jambo kwa wanahabari kesho

DAR-Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) ni Taasisi ya Umma iliyopo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Taasisi hii ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Namba 39 ya mwaka 1963 ikijulikana kama Bodi ya Huduma za Maktaba Tanganyika.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news