DODOMA-Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan imefanya marekebisho ya kanuni za uteuzi wa wabunge wake wa viti maalumu.
Pia,kwa upande wa vijana kikao cha kupiga kura za maoni zitapigwa na wajumbe wa UVCCM ngazi za mikoa na wilaya na watakuwa ni wajumbe wanawake tu.