Dkt.Yonazi aongoza kikao cha Progamu ya kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP)
DAR-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu),Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu na watendaji kuhusu masuala ya Programu ya kuendeleza Kilimo na Uvivu (AFDP).
Kikao hicho kimefanyika tarehe 06 Machi, 2025 katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu iliyopo Magogoni jijini Dar es salaam.