Habari njema kwa wanaosumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari

UNAJUA kutokana na mtindo wa maisha kwa dunia ya sasa ulioletwa na mageuzi ya viwanda, watu wengi wamekuwa wakikumbwa na magonjwa mbalimbali kama kisukari ingawa kuna wengine huwa wanarithi ugonjwa huo.

Jina langu ni Emmy, ni binti wa miaka 22, ninaishi na Bibi yangu Kakamega nchini Kenya, mwanzoni mwa mwaka 2019 Bibi yangu alianza kuumwa, sikuweza kujua ni kitu gani hasa kinamsumbua Mzee huyo ambaye nilikuwa namtunza.

Nilimpeka hospitali ambayo ipo eneno la jirani, baada ya kufanyiwa vipimo na uchunguzi wa kina, Bibi akagundulika kuwa ana ugonjwa kisukari, binafsi mwenyewe sikuweza kutarajia ugonjwa huo!.
Pale hospitali tulipewa dawa na Bibi akaanza kuzitumia, nilikuwa na matumaini mengi kuwa siku sio nyingi ataanza kupata nafuhu, huku mimi nikiendelea na kazi zangu za kila siku za kuniingizia kipato ambacho kitaniwezesha kuendesha familia hii.

Hata hivyo, Bibi hakuweza kupata nafuhu au kupona kwa muda ambao nilidhani ambao ndio alikuwa anamalizia dawa zake, tuliamua...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news