JINA langu ni Aisha kutoka Tanga, kipindi cha nyuma nilikuwa kwenye uhusiano na kijana mtanashati kweli kweli, kila mwanamke mwenye afya njema, basi ni lazima angevutiwa naye kimahaba.

Kijana huyu aitwaye, Abdallah alikuwa akifanya kazi ya kuongoza watalii katika maeneo mbalimbali hapa Tanga, aliwahi kuniambia kuwa utanashati wake ndio uliofanikisha kupata kazi hiyo yenye fedha nyingi.SOMA ZAIDI HAPA