
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El maamry Mwamba, akizungumza katika kikao na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Nikhal, (hayupo pichani), alipotembelea Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El maamry Mwamba akiteta jambo na Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Wizara ya Fedha, Bw. Japhet Jastine, katika kikao kati yake na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Nikhal, (hayupo pichani), Treasury Square, jijini Dodoma.
Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Nikhal, akizungumza, katika kikao kati yake na Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El maary Mwamba, Treasury Square, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El maamry Mwamba na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Nikhal, wakiwa katika picha na ya pamoja Timu ya Wataalamu wa Wizara ya Fedha, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Ubalozi wa Irani Tanzania, baada ya kumaliza kikao maalum, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El maamry Mwamba na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Nikhal, wakiwa katika picha na ya pamoja, baada ya kumaliza kikao maalum, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha - Dodoma).