Kamati ya Bunge yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuinua Sekta ya Michezo nchini

DAR-Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Husna Sekiboko imekagua mradi wa ujenzi wa eneo Changamani la Michezo Dar es salaam (Benjamini Mkapa na Uhuru) tarehe 15,2025 jijini Dar es Salaam ambapo imemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utashi wake katIka kusaidia kuinua sekta ya Michezo nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news