
Hadi kufikia katika umri huu, naweza kusema hapa duniani hakuna maisha bila kazi, kazi ndio msingi wa maisha, katika kazi ndipo mtu anajipatia riziki yake (fedha), kazi ni kipimo cha utu, kazi ni heshima, kazi inakusitiri, kazi inakupa hadhi.
Ila ukweli ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kusonga, ndivyo ugumu wa upatikanaji wa kazi unazidi kuwa mkubwa, teknolojia, mdororo wa kiuchumi na ongezeo kubwa la watu kumepelekea ajira kuwa chache sana.
Nachotaka kusema ni hiki, ingawa mimi ni mtoto wa kike, tayari nimesha...SOMA ZAIDI HAPA